Posts

DUNIA NI KIJIJI

Image
Naam nimekusikia na nitatekeleza, alikuwa akinieleza nimueleze mtaalamu wa mapenzi wa blog ya msofe technician kuwa yeye amefani kiwa ni baada ya kuomba ushauri kwa mtaalamu wetu wa blog hii ya msofe technician. Usiogope nawe mpenzi wa blog hii uliza utajibiwa hii yote inaletwa kwenu na voda com mtandao unaoongoza.

WAJUA NI KWA NINI NDOA NYINGI HUVUNJIKA?

Image
Hii imebainika live ya kuwa imeonekana wanawake walio wengi kuonekana hawafai kwa waume zao na hata kufikia wakati wanaamua kuachana hali ambayo hawakuitegemea wote wawili walikuwa wakipendana sana kipindi cha mwanzo wao wa penzi lakini siku zinavyozidi kusonga mbele penzi nalo huzidi kupungua. kutokana na mtaalamu wetu wa mapenzi wa blog hii ya msofe technician ametuarifu na kusisitiza namna wanawake wanavyoweza kuzilinda ndoa zao na kudumu kwa muda mrefu. mwanamke anayeonekana hapo chini katika picha ni mfano tu wa habari hii. Mtaalamu wetu wa mapenzi amesisitiza kwa uchungu na anasema hata mwenyezi mungu hapendi kabisa ndoa zinazovunzika na kusisitiza mwanamke yeyote ili awe mzuri kila siku anatakiwa awe anafanya mazoezi ya mwili Kama inavyoonekana kwa mwana dada huyo kwanza mtaalamu wetu anasema mwanamke anayefanya mazoezi kila siku anazidi kuwa msichana hata kama ana watoto watatu hivyo mwanamme inampa ham ya kukuona mzuri hata umezeeka. nasema mwanamke fanya mzoezi uwe mzuri ki
Image
In my life I'd like to get a wife, wise wise and devout, surely we can understanding if we forget God, O friends, do you have observed this and you remember you are nothing, not anything in this world began to be humble now as knowing when a dead stop this paths are the only all we do here we left here. began to worship, speak to my wife, my husband had long forgotten now we wake up and pray god now the devil has no place in our lives. if you do, you will receive blessings and satisfied enough in your family. God said he gave his devotee loves most dissatisfied do you want to become one?

JE USHAWAHI KUIGUSA SIGARA AU KUVUTA?

Image
KUTOKA TAIFA MOJA LA WATU WEUPE Kwa wenzetu walio na elimu kuhusu tumbaku wamekuwa wakiipiga vita kwa faida ya wao na familia zao na taifa lao kwa ujumla. kama unavyooona hapo pichani ni msako wa sigara na kuangamizwa kwa manufaa ya watu na taifa kwa ujumla. wewe ambaye unavuta acha sasa na wewe ambaye hujaanza unategemea kuaza usianze kabisa kwa afya yako mwenyewe kwani sigara huharibu system ya mapafu kwa asilimia kubwa sana.

ULISHAWAHI KUSIKIA NENO LAKE HATA MOJA?..

Image
Ni jambo la kushangaza kwa kiongozi huyu ambaye sasa ni marehemu alikuwana maneno ambayo yanaendelea kuwa na samani hata yeye hayupo duniani bado maneno alayosema yanaenda na wakati ukiyasikiliza. mungu muweke mahali pema peponi amin.

WANAUME TUACHE UKATILI KWA WANAWAKE

Image
Hii ni hadithi fupi kuhusu maisha ya mwanadamu, tokea kuzaliwa mpaka kuwa na akili timamu kwani imeonekana wanaume kuwafanyia vitendo vya ukatili wanawake hata kufikia kuwapotezea maisha. Kwa hakika ni kitendo cha aibu kwa mwanaume yeyote kufikia hatua ya kumkata mkewe kwa kutumia mapanga, hii imetokea sehem mbalimbali na hivi karibuni huko mwanga kilimanjaro kwa maisha ya kawaida ni aibu sana. Mwangalie huyo mama hapo pichani na niambie alivyo na mapenzi na mwanae, kumbuka sisi sote tulilelewa katika mapenzi hayohayo mpaka tumefikia kuwa watu wazima, halafu tunamwona mwanamke aliyeko ndani hafai sababu za msingi hakuna visingizio vingi. Inakumbushwa sisi wanaume ni viongozi wa nyumba sasa mkeo mtoto akikosea kama hatutatumia busara kumelimisha tutumie mabavu huo utakuwa si utawala sasa tubadilike tuwaheshimu mama zetu wake zetu. Kwani tumelelewa katika mazingira magumu sana.

MIHOGO YAFUMUKA

Image
Ndugu zangu nafikiri sisi waafrika hakuna asiyelifahamu hili zao maalum la mhogo kwani imekuwa ni chakula cha wakati mgumu hata kama mvua zitaacha kunyesha kwa kipindi fulani hili zao linavumilia, Sasa dhumuni la kukuwekea kitafunwa hiki ni ujitahidi kama una eneo hata la mita tatu katika nyumbani kwako upande japo mashina mawili. usibweteke panda halafu utaukumbuka ujumbe huu.

VIJANA SASA WAAMUA WAMECHOKA

Image
Ni baada ya kijana huyu ambaye amezunguka baadhi ya mikoa ya hapa Tanzania katika kutafuta ridhiki na hata hivyo siku moja katika mizunguko yake ya maisha alikutana naye kimwana mrembo na kuchukua uamuzi wa kufunga naye ndoa kama inavyoonekana katika picha. Napenda kumpongeza kijana huyu kwa sababu tendo la kuoa kwa vijana waliowengi limekuwa ni jambo gumu sana wakijisindikizia msemo wao wa unaoa usiku asubuhi unaacha kuishi na mke kazi. sijajua wanaogopa ugumu wa maisha au kupigwa na wake zao. Vijana huu ndiyo wakati wenu wa kujipa changamoto ya maisha iga mfano wa huyo kijana hapo juu.

FURAHA YA WATANZANIA

Image
Kulia kwako msomaji ni Rais waJamhuri ya muungano wa Tanzania na kushoto kwako ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, wakiwa wamefurahi.

JE MARADHI AMBUKIZI YA UKIMWI YATAKWISHA

Image
Imekuwa ni kawaida kwa maeneo yenye hali ya joto baadhi ya wanawake kuvaa nguo nyepesi lakini kwa hivi sasa imekuwa ni kukomoana, kwani mwangalieni huyo dada vizuri kila kona na munieleze je tutafika,zunguka maeneo ya mkoa wa mbeya ni moja ya sehemu zenye baridi lakini utawakuta kama hawa sijui ni joto au wanatatizo.Tujaribu kuchangia mada hii ili tuweze kuboresha maisha yetu na tuyakemee yale mabaya. mwandishi techniciani msofe.