Posts

MR S.M MSOFE

Image
                                                                       R.I.P, Mr S.M. Msofe   General Postamaster wa Tanzania Mstaafu, Alizaliwa mwaka 1948-2013 alipoiaga dunia, Tarehe 11-12-13 Nyumbani kwake Mapinga mkoa wa Pwani, Na amezikwa Tarehe 14-12-13 Nyumbani kwake mapinga. Alizikwa na mamia ya watu akiwemo Mkuu wa Posta wa sasa Mr mndeme. Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali Pema PEPONI AMINA.       Watu  wliohudhuria wakiwa na majonzi tele, kila mmoja akionesha masikitiko yake juu ya msiba wa marehemu, kwani alikuwa sio mtu mwenye kujisikia alikuwa ni mwenye usikivu kwa kila rika na hakuwa na hali ya kujitenga na jamii, alikuwa na mshikamano toka akiwa kazini hadi alipostaafu kijijini.        Ni jambo usiloweza kuamini kwani marehemu alivyokuwa pamoja na watu usafiri huu unaousikia maarufu kama bodaboda Naye anakodi umpeleke nyumbani kwake na hata usafiri wake mkubwa ni  daladala.        Hivyo marehemu hakuwa akijisikia pamoja kuwa alikuwa na madaraka makubwa Nchin

MAISHA MAZURI

Mambo ya kuzingatia ili kuwa na maisha mazuri,  Unashauriwa kumchagua mwenzi wako ambaye mnapatana kwa kina na kupanga mambo endelevu ya kimaisha, pia kuacha  tamaa ya maisha.

ERASTO MSUYA

Image
Erasto Msuya auwawa kinyama Arusha, Hapo ni picha ya marehemu. hakika tutakujulisha kadri tutakavyopata taarifa, na maendeleo ya msiba mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi.

MAMA AINI

Image
Mama  Aini siku moja ikiwa ndo katoka kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya mwanae Aini Msofe, akiwa anajipatia vitu vya kuongeza vitamini.

AINI MSOFE

Image
Mtoto Aini Saidi msofe siku aliyofunguliwa jalada la mahudhurio clinic ya watoto GMH mwenge Aini Msofe alizaliwa akiwa na uzito wa kg 3.6 na leo amefikia uzito wa kg 5.6 pia ameweza kupatiwa chanjo ya sindano mbili za mapaja, na matone mdomoni.

AINI SAIDI MSOFE

Image
Historia ya Aini Said Msofe, amezaliwa Tarehe 7 Jun 2013 siku ya ijumaa saa 3:56 alaasiri katika Hospital ya Lugalo(GMH). Nakurejea nyumbani siku ya jumapili ya Tarehe 9 jun 2013 saa 12:03 mchana, Chanjo ya mtoto kwa mara ya kwanza baada ya kuzaliwa aliipata katika hospital  ya mwananyamala siku ya jumatatu ambapo alipata matone tu, na siku ya Ijumaa jun 2013 alipata chanjo ya sindano katika Zahanati ya Kambangwa iliyopo  mwananyamala karibu na  hospital kuu ya mwananyamala, kabla sijaenda mbali na histori hii shukurani a dhati zimuendee DR Mwanasali na wengine katika kufanikisha uzao wa mtoto AINI SAIDI MSOFE.

PATA HISTORIA YA KIJIJI CHA MFINGA, CHANZO CHA MAJI TOKA CHEGHO, NA MAAJABU YAKE

Image
Kijiji cha mfinga Kina sifa kubwa  ya kwanza kina vilele vya milima  vya kutosha kupumzikia, hakina vumbi kina miti ya kutosha, kinafaa kuwekeza  kwa ajili ya watalii hakina mbu kina hali ya hewa ya baridi, jua hutoka saa tano au saa sita  hapo ndo kama saa mbili asubuhi huchoki kuishi unaweza kunywa supu muda wowote bila kujali jasho hali ya hewa inaruhusu. MNAKARIBISHWA WOTE KWA AJILI YA UWEKEZAJI Hali ya  maji maji ya kunywa safi na salama yanayotoka juu ya kilele cha mlima kamwala. Pia una weza  pata nafasi ya kujione a sehemu mbalimbali za kihistoria kama vile kwa chegho. sehemu ambayo  ni chanzo cha maji yanayotiririka toka mlimani.

Attract approaches the village of Mafinga

Image
  To form the village of Mafinga going faster development , you can see the mosque fine with corrugated red, and modern houses along you can see the road to the village of ndambwe passing the margins of forest Tange , and the edges of the forest you see the house of the late Hasan mtengeti ( kizito perhaps you would recognize them older people who are famous for now is Mzee Abdallah Two, Kazihaka old , old Bad Mruma , old Chicks field, these are the few who have a good history of the village besides Mafinga .

SHETA FIT RICH MAVOKO SINA IMANI FINAL

MAMA AMKATA MWANAE MKONO KIKATILI

Learn How To Hack - Ethical Hacking and security tips

Learn How To Hack - Ethical Hacking and security tips +255787000634 PLEASE USE THIS NUMBER FOR ANY PROBLAMECopyright kamanda msofe

MADHARA YA TAMAA NA UCHU

Imekuwa ni kawaida kwa miaka hii kusikia mapigano ya wenyewe kwa wenyewe lakini sisi tukiwa kama wanadamu, ninawasihi wanadamu wenzangu kama unaona unaonewa ni bora kumrejea muumba wako ili ajue ni vp atakulipa mapungufu uliyoyapata, kwani inaonekana dhahiri kama vile uchu wa kimaisha watu wamekuwa wakipigana kila mara utakuta na kusikia idadi fulani wamepoteza maisha kwa mlipuko, N apenda kukuomba ewe unayesoma ujumbe huu kuwa usimsababishie mwenzio kukata tamaa ya maisha na wala usikate tamaa ya maisha subiri mungu siku atakapochukua uhai wako yeye mwenyewe. hasante  NB UKITAFAKARI KWA KINA UJUMBE HUU HUTAWEZA HATA KUGOMBANA NA MKEO WALA JIRANI YAKO. +255787000634 PLEASE USE THIS NUMBER FOR ANY PROBLAMECopyright kamanda msofe