Posts

Showing posts from May 15, 2010

JE USHAWAHI KUIGUSA SIGARA AU KUVUTA?

Image
KUTOKA TAIFA MOJA LA WATU WEUPE Kwa wenzetu walio na elimu kuhusu tumbaku wamekuwa wakiipiga vita kwa faida ya wao na familia zao na taifa lao kwa ujumla. kama unavyooona hapo pichani ni msako wa sigara na kuangamizwa kwa manufaa ya watu na taifa kwa ujumla. wewe ambaye unavuta acha sasa na wewe ambaye hujaanza unategemea kuaza usianze kabisa kwa afya yako mwenyewe kwani sigara huharibu system ya mapafu kwa asilimia kubwa sana.