Posts

Showing posts from June 20, 2010
http://www.bbcswahil.com
Image
haya ni mazingira mazuri ya kijiji cha mfinga wilaya ya mwanga kilimanjaro kilimanjaro karibuni kuna maanzari mazuri na yakuvutia kwa kupumzi, na hata kwa kuweka hoteli ya kitalii hii ni moja ya picha tu nitaweka picha nyingi zaid kuonyesha hali halisi karibuni wawekezaji.