MAAFALI YA CHUO KIKUU CHA MWALIMU NYERERE
Leo ilikuwa ni furaha sana kwa bi Zena Mtengeti kwani ndo siku muhimu kwa ngazi ya kielimu kwani ndo siku yake ya kutunukiwa shahada ya kwanza ya Jinsia na Maendeleo ya jamii , watu kanza wa kaza walifika kwa ajili ya kumpongeza picha ya pili toka juu ni mume wa zena Mtengeti akimvisha taji kwa ishara ya kumpongeza mkewe na kumhusia maneno yafuatayo mwanzo wa shahada ya kwanza iwe ni faida kwa Taifa lako, na uwe mwanzo wa shahada ya pili na akasema hongera sana!!!!!!!!!!!!!!.