PATA HISTORIA YA KIJIJI CHA MFINGA, CHANZO CHA MAJI TOKA CHEGHO, NA MAAJABU YAKE
Kijiji cha mfinga Kina sifa kubwa ya kwanza kina vilele vya milima vya kutosha kupumzikia, hakina vumbi kina miti ya kutosha, kinafaa kuwekeza kwa ajili ya watalii hakina mbu kina hali ya hewa ya baridi, jua hutoka saa tano au saa sita hapo ndo kama saa mbili asubuhi huchoki kuishi unaweza kunywa supu muda wowote bila kujali jasho hali ya hewa inaruhusu. MNAKARIBISHWA WOTE KWA AJILI YA UWEKEZAJI Hali ya maji maji ya kunywa safi na salama yanayotoka juu ya kilele cha mlima kamwala. Pia una weza pata nafasi ya kujione a sehemu mbalimbali za kihistoria kama vile kwa chegho. sehemu ambayo ni chanzo cha maji yanayotiririka toka mlimani.