Posts

Showing posts from May 19, 2010

DUNIA NI KIJIJI

Image
Naam nimekusikia na nitatekeleza, alikuwa akinieleza nimueleze mtaalamu wa mapenzi wa blog ya msofe technician kuwa yeye amefani kiwa ni baada ya kuomba ushauri kwa mtaalamu wetu wa blog hii ya msofe technician. Usiogope nawe mpenzi wa blog hii uliza utajibiwa hii yote inaletwa kwenu na voda com mtandao unaoongoza.

WAJUA NI KWA NINI NDOA NYINGI HUVUNJIKA?

Image
Hii imebainika live ya kuwa imeonekana wanawake walio wengi kuonekana hawafai kwa waume zao na hata kufikia wakati wanaamua kuachana hali ambayo hawakuitegemea wote wawili walikuwa wakipendana sana kipindi cha mwanzo wao wa penzi lakini siku zinavyozidi kusonga mbele penzi nalo huzidi kupungua. kutokana na mtaalamu wetu wa mapenzi wa blog hii ya msofe technician ametuarifu na kusisitiza namna wanawake wanavyoweza kuzilinda ndoa zao na kudumu kwa muda mrefu. mwanamke anayeonekana hapo chini katika picha ni mfano tu wa habari hii. Mtaalamu wetu wa mapenzi amesisitiza kwa uchungu na anasema hata mwenyezi mungu hapendi kabisa ndoa zinazovunzika na kusisitiza mwanamke yeyote ili awe mzuri kila siku anatakiwa awe anafanya mazoezi ya mwili Kama inavyoonekana kwa mwana dada huyo kwanza mtaalamu wetu anasema mwanamke anayefanya mazoezi kila siku anazidi kuwa msichana hata kama ana watoto watatu hivyo mwanamme inampa ham ya kukuona mzuri hata umezeeka. nasema mwanamke fanya mzoezi uwe mzuri ki...