MADHARA YA TAMAA NA UCHU
Imekuwa ni kawaida kwa miaka hii kusikia mapigano ya wenyewe kwa wenyewe lakini sisi tukiwa kama wanadamu, ninawasihi wanadamu wenzangu kama unaona unaonewa ni bora kumrejea muumba wako ili ajue ni vp atakulipa mapungufu uliyoyapata, kwani inaonekana dhahiri kama vile uchu wa kimaisha watu wamekuwa wakipigana kila mara utakuta na kusikia idadi fulani wamepoteza maisha kwa mlipuko, N apenda kukuomba ewe unayesoma ujumbe huu kuwa usimsababishie mwenzio kukata tamaa ya maisha na wala usikate tamaa ya maisha subiri mungu siku atakapochukua uhai wako yeye mwenyewe. hasante NB UKITAFAKARI KWA KINA UJUMBE HUU HUTAWEZA HATA KUGOMBANA NA MKEO WALA JIRANI YAKO. +255787000634 PLEASE USE THIS NUMBER FOR ANY PROBLAMECopyright kamanda msofe