Posts

Showing posts from April 13, 2011

MTOTO IDRISA SALUM MSOFE AKIWA ANAJIFUNZA KAZI YA UFUNDI UMEME

Image
+255 766 111117 PLEASE CALL ME, AND TELL YOU ABOUT ANY EVENTS./TUMIA MAWASILIANO MOJA KWA MOJA KUPATA MATUKIO MUHIMU.AU KUWEKA TANGAZO LAKO. Imekuwa ni kawaida ya waafrika tulio wengi kuwakataza watoto mambo mbalimbali kufanya ikiwa kama tunawalea vizuri, kumbe jukumu la mzazi ni kumwanagalia mtoto ana kipaji cha namna gani na kisha kumwendeleza kama alivyofanya mzazi salum msofe  AKA bABA IDRISA KWA MWANAE IDRISA MPAKA SASA ANAWEZA KUFANYA WAYARINGI YA TAA KATIKA RAMANI NA KUMPA FUNDI AKAFANYA KAZI. JE WW UNAMWAANDAA VP MWANAO?