AINI SAIDI MSOFE
Historia ya Aini Said Msofe, amezaliwa Tarehe 7 Jun 2013 siku ya ijumaa saa 3:56 alaasiri katika Hospital ya Lugalo(GMH). Nakurejea nyumbani siku ya jumapili ya Tarehe 9 jun 2013 saa 12:03 mchana, Chanjo ya mtoto kwa mara ya kwanza baada ya kuzaliwa aliipata katika hospital ya mwananyamala siku ya jumatatu ambapo alipata matone tu, na siku ya Ijumaa jun 2013 alipata chanjo ya sindano katika Zahanati ya Kambangwa iliyopo mwananyamala karibu na hospital kuu ya mwananyamala, kabla sijaenda mbali na histori hii shukurani a dhati zimuendee DR Mwanasali na wengine katika kufanikisha uzao wa mtoto AINI SAIDI MSOFE.