kamanda akiwa hoi,majukumu magumu anatamani kulala lakini haiwezekani kwa sababu wananchi wake wanamtegemea sana jamani kaazi hiiiiiiiii nooooooooooooma?
+255 766 111117 PLEASE CALL ME, AND TELL YOU ABOUT ANY EVENTS./TUMIA MAWASILIANO MOJA KWA MOJA KUPATA MATUKIO MUHIMU.AU KUWEKA TANGAZO LAKO.
Erasto Msuya auwawa kinyama Arusha, Hapo ni picha ya marehemu. hakika tutakujulisha kadri tutakavyopata taarifa, na maendeleo ya msiba mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi.
Comments
Post a Comment
TUMIA BUSARA UTAELEWEKA TU.