haya ni mazingira mazuri ya kijiji cha mfinga wilaya ya mwanga kilimanjaro
kilimanjaro karibuni kuna maanzari mazuri na yakuvutia kwa kupumzi, na hata kwa kuweka hoteli ya kitalii hii ni moja ya picha tu nitaweka picha nyingi zaid kuonyesha hali halisi karibuni wawekezaji.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhuIDa4Ahjj9wOZoi8EEb9grZPmxpUNCUlZ_U5GjI3MFXy7BwUSjSGBH5QzjboRg2QCbf953mFS0Rft2q5jkU_P7RPXUQZ8VdOS8k-zd4ywlz4rAuc2Mjbmc4Wg94llf20hvl1zjU1dXs/s400/kijiji+mfinga.jpg)
Comments
Post a Comment
TUMIA BUSARA UTAELEWEKA TU.