Posts

Showing posts from April, 2011

WAENDESHA PIKIPIKI WAPATA MAJINA MAPYA:

Image
+255 766 111117 PLEASE CALL ME, AND TELL YOU ABOUT ANY EVENTS./TUMIA MAWASILIANO MOJA KWA MOJA KUPATA MATUKIO MUHIMU.AU KUWEKA TANGAZO LAKO. YOTE: Haya yanakuja baada ya madereva wa pikipiki kufarakana na wenzao nanaoendesha pikipiki hizo mitaani kwa kasi ya  ajabu huku wamewapakia abiria , na wakiulizwa na wenzao wastaarabu wanawajibu kuwa wao wana uzoefu na hivi vyombo vya vya moto. kwa kufikia hapo wamepata MAJINA MAPYA KWA MWENDO WAO WA KASI NA KUITWA MAGEGEDU Sijui jina hili lina maana gani lakini ukimwona de3reva wa pikipiki muulize gegedu lina maana gani NAKUTAHADHARISHA NDUGU MWANANCHI ACHA KUSAFIRISHA NA GEGEDU KWA KUWA MWENDO WAKE NI WA KASI MNO TAFUTA DEREVA MSTAARABU KWANI BODI KIZUIZI NI WW MWENYEWE,.

KAMANDA AKIWA KATIIKA MIPANGO YA VITA LBYA!!!!!!!!!!!!!!! UCPIME VITA NOOOOOMA KWELI.

Image
+255 766 111117 PLEASE CALL ME, AND TELL YOU ABOUT ANY EVENTS./TUMIA MAWASILIANO MOJA KWA MOJA KUPATA MATUKIO MUHIMU.AU KUWEKA TANGAZO LAKO. Wakati lbya ikiwa katika mipango ya vita baadhi ya makamanda huendelea kuumiza vichwa kama unavyomuona kamanda hapo.

MTOTO IDRISA SALUM MSOFE AKIWA ANAJIFUNZA KAZI YA UFUNDI UMEME

Image
+255 766 111117 PLEASE CALL ME, AND TELL YOU ABOUT ANY EVENTS./TUMIA MAWASILIANO MOJA KWA MOJA KUPATA MATUKIO MUHIMU.AU KUWEKA TANGAZO LAKO. Imekuwa ni kawaida ya waafrika tulio wengi kuwakataza watoto mambo mbalimbali kufanya ikiwa kama tunawalea vizuri, kumbe jukumu la mzazi ni kumwanagalia mtoto ana kipaji cha namna gani na kisha kumwendeleza kama alivyofanya mzazi salum msofe  AKA bABA IDRISA KWA MWANAE IDRISA MPAKA SASA ANAWEZA KUFANYA WAYARINGI YA TAA KATIKA RAMANI NA KUMPA FUNDI AKAFANYA KAZI. JE WW UNAMWAANDAA VP MWANAO?