WAENDESHA PIKIPIKI WAPATA MAJINA MAPYA:

+255 766 111117 PLEASE CALL ME, AND TELL YOU ABOUT ANY EVENTS./TUMIA MAWASILIANO MOJA KWA MOJA KUPATA MATUKIO MUHIMU.AU KUWEKA TANGAZO LAKO.

YOTE: Haya yanakuja baada ya madereva wa pikipiki kufarakana na wenzao nanaoendesha pikipiki hizo mitaani kwa kasi ya  ajabu huku wamewapakia abiria , na wakiulizwa na wenzao wastaarabu wanawajibu kuwa wao wana uzoefu na hivi vyombo vya vya moto. kwa kufikia hapo wamepata MAJINA MAPYA KWA MWENDO WAO WA KASI NA KUITWA MAGEGEDU Sijui jina hili lina maana gani lakini ukimwona de3reva wa pikipiki muulize gegedu lina maana gani NAKUTAHADHARISHA NDUGU MWANANCHI ACHA KUSAFIRISHA NA GEGEDU KWA KUWA MWENDO WAKE NI WA KASI MNO TAFUTA DEREVA MSTAARABU KWANI BODI KIZUIZI NI WW MWENYEWE,.

Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA TAMAA NA UCHU

TYPES OF ELECTRIC CIRCUIT&INSTRUCTION