PATA HISTORIA YA KIJIJI CHA MFINGA, CHANZO CHA MAJI TOKA CHEGHO, NA MAAJABU YAKE

Kijiji cha mfinga Kina sifa kubwa  ya kwanza kina vilele vya milima  vya kutosha kupumzikia, hakina vumbi kina miti ya kutosha, kinafaa kuwekeza  kwa ajili ya watalii hakina mbu kina hali ya hewa ya baridi, jua hutoka saa tano au saa sita  hapo ndo kama saa mbili asubuhi huchoki kuishi unaweza kunywa supu muda wowote bila kujali jasho hali ya hewa inaruhusu. MNAKARIBISHWA WOTE KWA AJILI YA UWEKEZAJI Hali ya  maji maji ya kunywa safi na salama yanayotoka juu ya kilele cha mlima kamwala. Pia una weza  pata nafasi ya kujione a sehemu mbalimbali za kihistoria kama vile kwa chegho. sehemu ambayo  ni chanzo cha maji yanayotiririka toka mlimani.

Popular posts from this blog

Feminist Theory and Gender Studies Archive

MADHARA YA TAMAA NA UCHU