HISTORY YA MLIMA KAMWALA
HUU NI MLIMA KIDOGO NI WAAJABU KWANI JUU KABISA KILELENI UNA UWANJA WA NDEGE AMBAO ULIKUWA UNATUMIWA NA WAKOLONI,NA HADI HIVI LEO KUNA MAJINA YA WAKOLONI KWANI MLIMA HUU UPO MKOANI KILIMANJARO KIJIJI CHA MFINGA KATA YA SHIGHATINI TARAFA YA UGWENO WILAYA YA MWANGA, NA MTUNZA MLIMA HUO KWA SASA NI MZEE ABDALLAH YUSUFU MARIJANI KWANI UKIFIKA ULIZA MZEE ABDALLAH YUSUFU MARIJANI ATAKUELEZEA MAAJABU YOTE YALIYOPO KTK MLIMA HUO. FIKA MZUNGUMZE ATAKUTEMBEZA MAENEO MUHIMU YOTE BILA SHAKA UTAPATA NA HISTORIA YA MAJI KATIKA MAENEO HAYO UTAMFAHAMU MTU WA ZAMANI MAARUFU KWA JINA LA CHEGHO NA MWANAWE MBORAMBOJI TAFADHALI SIWEZI KUELEZA UTAMU WA MAEMEO HUSIKA ILA YUPO MUELEZEAJI MZEE ABDALLA YUSUFU MARIJANI, KWANI NI MAENEO MUHIMU MAISHANI KWAKO, KUMBUKA WATU HUTOKA ULAYA KUJA KUFUATILIA HISTORIA YA MAENEO HAYO.
Comments
Post a Comment
TUMIA BUSARA UTAELEWEKA TU.