KIJANA ASEMA HAKUBALI


+255 765 121314 PLEASE CALL ME, AND TELL YOU ABOUT ANY EVENTS.
       Kjijana Godfrey joseph mpume ni pale tu alipoamua kuwazimisha wale wote mademu waliokuwa wakimsalandia hii ilifanyika hivi karibuni kwani kijana huyu yeye anapenda sana maendeleo,. Nikizungumzanaye live alliniambia kuwa dunia haikungoji kwa maana hiyo utambue wakati ni ukuta hivyo unamwisho, nikajaribu kumdodosa kwa nini aliamua kuuchukua uamuzi huo kwani vijana wenye umri kama wake huwa hawaoi wanasubiri kuponda maisha .GODFREY JOSEPH MPUME alijaribu kujibu kiunyonge akisema ngoja ngoja utakuta mwana si wako, tena aliniambia alijaribu kumshauri rafiki yake maarufu kule mbeya kwa jina la baba nguruwe alishindwa kumuelewa. hatahivyo alishauri vijana waoe mapema ilikuepuka wakati wa uzee baada utulize mwili wako wewe ndiyo kwanza unaanza kulea alisema hiyo imepitwa na wakati alijaribu kuwakanya wale wataalamu wa mifilisi kwani kujizoesha kwenda porini na wanawake kutakusababisha kushindwa kukaaa na mwanamke ndani ya nyumba.

Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA TAMAA NA UCHU

TYPES OF ELECTRIC CIRCUIT&INSTRUCTION