MR S.M MSOFE
R.I.P, Mr S.M. Msofe General Postamaster wa Tanzania Mstaafu, Alizaliwa mwaka 1948-2013 alipoiaga dunia, Tarehe 11-12-13 Nyumbani kwake Mapinga mkoa wa Pwani, Na amezikwa Tarehe 14-12-13 Nyumbani kwake mapinga. Alizikwa na mamia ya watu akiwemo Mkuu wa Posta wa sasa Mr mndeme. Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali Pema PEPONI AMINA.
Watu wliohudhuria wakiwa na majonzi tele, kila mmoja akionesha masikitiko yake juu ya msiba wa marehemu, kwani alikuwa sio mtu mwenye kujisikia alikuwa ni mwenye usikivu kwa kila rika na hakuwa na hali ya kujitenga na jamii, alikuwa na mshikamano toka akiwa kazini hadi alipostaafu kijijini.
Ni jambo usiloweza kuamini kwani marehemu alivyokuwa pamoja na watu usafiri huu unaousikia maarufu kama bodaboda Naye anakodi umpeleke nyumbani kwake na hata usafiri wake mkubwa ni daladala.
Hivyo marehemu hakuwa akijisikia pamoja kuwa alikuwa na madaraka makubwa Nchini na Kimataifa, Hivyo Mr msofe alikuwa ni mfano wa kuigwa katika jamii.
mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi amini
ReplyDelete