MAAFALI YA CHUO KIKUU CHA MWALIMU NYERERE










 Leo ilikuwa  ni furaha sana kwa bi Zena Mtengeti kwani ndo siku muhimu kwa ngazi ya kielimu kwani ndo siku yake ya kutunukiwa shahada ya kwanza ya Jinsia na Maendeleo ya jamii, watu kanza wa kaza walifika kwa ajili ya kumpongeza picha ya pili toka juu ni mume wa zena Mtengeti akimvisha taji kwa ishara ya kumpongeza mkewe na  kumhusia maneno yafuatayo mwanzo wa shahada ya kwanza iwe ni faida kwa Taifa lako, na uwe mwanzo wa shahada ya pili na akasema hongera sana!!!!!!!!!!!!!!.





Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA TAMAA NA UCHU

TYPES OF ELECTRIC CIRCUIT&INSTRUCTION