VIJANA SASA WAAMUA WAMECHOKA



Ni baada ya kijana huyu ambaye amezunguka baadhi ya mikoa ya hapa Tanzania katika kutafuta ridhiki na hata hivyo siku moja katika mizunguko yake ya maisha alikutana naye kimwana mrembo na kuchukua uamuzi wa kufunga naye ndoa kama inavyoonekana katika picha.

Napenda kumpongeza kijana huyu kwa sababu tendo la kuoa kwa vijana waliowengi limekuwa ni jambo gumu sana wakijisindikizia msemo wao wa unaoa usiku asubuhi unaacha kuishi na mke kazi. sijajua wanaogopa ugumu wa maisha au kupigwa na wake zao.

Vijana huu ndiyo wakati wenu wa kujipa changamoto ya maisha iga mfano wa huyo kijana hapo juu.

Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA TAMAA NA UCHU

TYPES OF ELECTRIC CIRCUIT&INSTRUCTION